Search

843 results for Charles Abel :

  1. Sababu zinazompa Kibu thamani

    Kibarua kigumu ambacho Simba inacho katika kumbakisha nyota wake Kibu Denis anasaini mkataba mpya kinachangiwa na ufanisi wa mchezaji huyo uwanjani licha ya kutokuwa na takwimu bora za kuhusika...

  2. Tshabalala awaachia msala wazawa Simba

    Simba kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa eneo gumu sana kwa wachezaji wazawa wanaosajiliwa kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza na kuonyesha ubora. Wengi husajiliwa kisha baadaye...

  3. AKILI ZA KIJIWENI: Sijaona cha kuizuia Yanga ubingwa Ligi Kuu

    Kimahesabu ya kimpira, mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zilikamilika siku ile ambayo Simba ilipoteza kwa mabao 2-1 mbele ya Yanga katika mechi ya mzunguko wa pili wa ligi hiyo.

  4. AKILI ZA KIJIWENI: Pamba mmerudi, ligi si kama mlivyoiacha

    Wanetu wa Pamba FC aka Wana Kawekamo au ukipenda unaweza kuwaita TP Lindanda baada ya msoto wa muda mrefu hatimaye wamefanikiwa kupanda Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kushika nafasi ya pili...

  5. AKILI ZA KIJIWENI: Simba isijichanganye kwa Lomalisa

    Wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo li njiani laja

  6. Mavunde: Tulitumia saa nane kumvuta GSM Yanga

    UKIACHA mapenzi yake ndani ya klabu ya Yanga kama kuna jambo ambalo lilimtambulisha kwa ukubwa Antony Mavunde ndani ya klabu hiyo basi ni ile siku ambayo aliutambulisjha umma wa wanachama na...

    New Content Item (1)
  7. Siri Yanga kuwaita mezani Mwamnyeto, Kibwana

    Uhaba wa mabeki wazawa wenye uwezo wa juu, uzoefu pamoja na kutokuwa tayari kuwanufaisha wapinzani iwapo wawili hao wataondoka, ni sababu tatu za msingi zilizofanya uongozi wa Yanga kuanza...

  8. Mabao yatawabakisha Ligi Kuu

    MSIMU wa Ligi Kuu 2023/2024 unakaribia ukingoni na timu pamoja na wachezaji wanakaribia kuvuna kile walichokipanda ambacho ni ama kumaliza vizuri au kumaliza vibaya pindi mizunguko 30 ya ligi...

  9. Mbolea chanzo cha mgogoro USM Alger, RS Berkane

    UNAWEZA kuona kwa jicho la kisiasa mgogoro uliopelekea mechi ya pili ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya RS Berkane na USM Alger kutochezwa jana kama ilivyokuwa kwa mechi ya...

  10. Mastraika Taifa Stars wanahitaji maombi

    Wakati zikibaki siku 44 kabla ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Zambia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, mwenendo wa wachezaji wa safu ya ushambuliaji ambao wamekuwa...

Page 1 of 85

Next